MWASENDA DEVELOPMENT INTERVENTION (MDI - NGO)

JIFUNZE KIINGEREZA KWA NJIA YA MASAFA

JIFUNZE KIINGEREZA KWA NJIA YA MASAFA  

Kwa nini ujifunze  Kiingereza?

Maarifa mengi yameandikwa kwa lugha hii; hivyo pasipo kujifunza lugha hii itakuwa vigumu kupata maarifa hayo sambamba na kushindwa kuwasiliana vyema kwenye ngazi ya kimataifa.

Muundo wa kozi hii.

Kozi hii ni mfululizo wa vitabu vya kufundishia Kiingereza cha kawaida cha kuongea. Katika vitabu hivi, utakuta mazungumzo ya Kiingereza, tafsiri, maelezo na matumizi sahihi ya Kiingereza.

Pia kuna mazoezi ya kuzungumza Kiingereza, orodha, misamiati na mazoezi ya kupima uelewa wa mazungumzo. Kuna maandishi maalumu yanayoonesha matamshi sahihi ya maneno ya Kiingereza.

Pia utajifunza hatua kwa hatua jinsi maandishi ya Kiingereza na matamshi ya Kiingereza yanavyoendana. Kozi hii inaweza kuwasaidia wale ambao hawajui Kiingereza. Mtu yoyote anayeweza kusoma    kwa  ufasaha lugha ya kiswahili anaweza kujifunza kozi hii mwenyewe bila tatizo lolote.

Namna ya kujiunga na kozi  hii

Tupatie mawasiliano yako ya e-mail ili tukutumie vitabu kwa ajili ya kujifunza mwenyewe. Kwa wale wasiokuwa na e-mail; tunaweza kuwatumia vitabu hivyo kwa njia ya magari ya abiria. Gharama kwa kila hatua ni Tshs. 5,000/= tu ambapo jumla ya vitabu ni saba (7) sawa na Tshs. 35,000/= kwa kozi nzima. Kwa wale wataopendekeza kutumiwa kwa njia ya magari, watagharamikia  usafirishaji.

Huduma za ziada zinazopatikana kwetu:-

  • Tuition (Primary & Secondary)
  • QT (Utasajiriwa na  Broad Vision Open School)
  • Computer Courses
  • Mafunzo ya Ujasiriamali kwa vikundi
  • Book-Typesetting, Printing, Graphics Designing etc.

Kwa maelezo zaidi; karibu kituoni kwetu – Mwasenda DevelopmentIntervention – Nyasaka Centre (Nyamuge) jijini Mwanza – Tanzania.  Wasiliana nasi  kwa 0655-533543 au kwa barua pepe – mwasenda2018@gmail.com / info@mwasenda.org

Leave a Reply