MWASENDA DEVELOPMENT INTERVENTION (MDI - NGO)

EXCEL ASSESSMENT TOOL

Excel Self-Assessment Tool Excel_Assessment_tool Open the link above to assess yourself ... This tool is designed to help place you in a class appropriate to your skill level. Self-Assessment Instructions:…

WHAT IS EM.O?

Effective Microorganisms® - An Earth Saving Revolution EM® is an acronym for Effective Microorganisms®. EM® is a brand name referring to a family of microbial-based products using a technology developed by Japanese scientist…

TUSAIDIANE KUONDOA KUTU VICHWANI MWETU

TUSAIDIANE KUONDOA KUTU VICHWANI MWETU Vijana wengi wa Tanzania tuna shida kubwa katika bongo zetu. Tumegeuka kuwa jamii ya kulaumu na kulalamika badala ya kuchukua hatua.Tunapenda urahisi. Tunasahau kuwa zama…

MENTOR NA COMPETITOR

KUNA TOFAUTI KUBWA SANA KATI YA "MENTOR NA COMPETITOR" #Tunapoanza kazi mpya tunatakiwa tutafute Au tutafutiwe mentors na si kutafuta au kutafutiwa Competitor. #Kuna tofauti kati ya misamiati hiyo miwili. Mentor ni…

CHAKULA CHA AKILI (MENTAL FOOD)

LAWAMA, HUKUMU NA MAJUTO USIYOSTAHILI. Tuwende tukaangalie LAWAMA NA MAJUTO USIYOSTAHILI kama moja ya vitu usivyopaswa kuvifanya. Shaka hakuna kuwa utakuwa unakumbuka vyema yale makundi mawili kama umeyasahau rejea kusoma…

JIFUNZE ULIPO UNUFAIKE NA TEKNOLOJIA

Mafunzo ya H Fodder -  Mafunzo yanatolewa kwa njia ya masafa. Pata vitabu vilivyoandikwa katika lugha ya kueleweka (Kiswahili) vitakavyokuongoza wakati wote wa shughuli utakazokuwa umechagua kufanya.  

ELIMU YA HISA

Elimu ya Hisa

CHAPISHO HILO LILITUMIKA KWENYE SEMINA YA UUNDAJI WA VIKUNDI VYA WAJASIRIAMALI MAARUFU KAMA VIKUNDI VYA HISA. WAWEZA KUPAKUA NA KUTUMIA KUFUNDISHIA WENGINE. 

KARIBU (more…)

CHAKULA CHA AKILI (MENTAL FOOD)

CHAKULA CHA AKILI (Mental food) CHENYE KULETA MAPINDUZI YA KIFIKRA. Kitabu hiki  hili kinatufundisha kuhusu vitu mbalimbali vinavyohusu maisha ya BINADAMU (human life), kikiongelea maisha ya waafrika kwa ujumla na zaidi…

TUNAFANYIA KAZI TAFITI MBALI MBALI ZA KITAALAMU

Tafiti nyingi zimefanyika na  kutunzwa kwenye makabati ya watu mbalimbali. Zingefanyiwa kazi zote, Tanzania yetu na Afrika nzima kwa ujumla ingekuwa mahali pazuri pa kuishi kwa raha mstarehe. Tafiti hizo…